NYANGO

Fashion

http://nyangoaetechnician.blogspot.com/

Thursday 10 December 2015

NYUMBA YA KUISHI

JIONEE PICHA ZA NYUMBA YA KUISHI YENYE FENSI. 

Habari za wakati huu mpendwa msomaji.
Picha hiyo iliyooneshwa hapo juu ni picha ya nyumba ya kuishi kama ilivyobuniwa na kutengenezwa  kati ya kitaalamu katika fani ya ubunifu (Architecture)

Sifa za nyumba hii
1. ina sebure(sitting room) ya kutosha
2. Sehemu ya kulia chakula (dining) yenye mwanga wa kutosha
3. Sehemu ya kupikia (kitchen) ya kisasa
4. Sehemu ya kutunzia vitu (store)
5. Choo na bafu vya pamoja (public)
6. Vyumba vitatu(3) vya kulala vya kawaida
7. Chumba kimoja chenye choo na bafu (master bedroom)




0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More