NYANGO

Fashion

http://nyangoaetechnician.blogspot.com/

Tuesday 15 December 2015

KUCHORA KWA KUTUMIA AUTOCAD

JINSI YA KUCHORA KWA KUTUMIA AUTOCADMpendwa msomaji pole na majukumu ya kila siku katika harakati za kujenga uchumi wetu na wa nchi kwa ujumla.
Huu ni muendelezo wa mafundisho yanayohusu utumiaji wa program ya autocad, na ni matumaini yetu kuona ukituelewa kwa kile tunachokupatia.
kama hukufanikiwa kuona mafundisho yaliyopita usijali bonyeza kwenye maandishi  hapo chini
je unataka kujifunza autocad ingia hapa
jinsi ya kuandaa mazingira ya kuchorea kwenye program ya autocad
Kwa mtu yoyote anaeanza kuchora basi ni lazima ahakikishe toolbar hizi tatu za msingi zipo yaani
1. Draw toolbar – hii hutumika kwa kuchorea maumbo mbali mbali, mistari, nk.
2. Dimension toolbar – hii hutumika kwa kuonesha vipimo mbalimbali mfano kipimo cha mstari, duara, pembe, nk.
3. Modify toolbar – hii hutumika kwa kufanya marekebisho ya mistari au maumbo mbalimbali yaliyochorwa kwa draw toolbar
ili uweze kuelewa vizuri mpendwa msomaji, tumekuwekea link ya video hapo juu ambayo ukibonyeza itakupeleka moja kwa moja sehemu ambapo video ipo.Tumia fursa hii kuielewa vizuri program hii.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More