NYANGO

Fashion

http://nyangoaetechnician.blogspot.com/

Big, spacious house 4 bedrooms

Kwa wale watakao hitaji ramani za nyumba, mimi ni Architect.nafanya residential Houses peke yake. Tuwasiliane kwa wale watakaokua intrested, tuwasiliane. 0763080244

3BEDROOM HOUSE

3BEDROOM 2 toilets,1living/lounge kitchen,dinning and store

Nyango

Nyango Residential House.

YELOW HOUSE

YELOW HOUSE.

TOP VEW

Yellow House Top view.

YELLOW HOUS LEFT

BUY NOW.

Saturday 2 January 2016

Jionee Nyumba Nzuri Ya Kuvutia

Kama unahitaji floor plan ya mchoro huu tuwasiliane kwa namba ya 0763080244

Jipatie Ramani Nzuri za Kuvutia

                                                                        FRONT VIEW

                                                                               REAL VIEW
                                                                                BACK VIEW
                                                                            REAL BACK
                                                                              TOP FRONT  VIEW 

Tuesday 15 December 2015

KUCHORA KWA KUTUMIA AUTOCAD

JINSI YA KUCHORA KWA KUTUMIA AUTOCADMpendwa msomaji pole na majukumu ya kila siku katika harakati za kujenga uchumi wetu na wa nchi kwa ujumla.
Huu ni muendelezo wa mafundisho yanayohusu utumiaji wa program ya autocad, na ni matumaini yetu kuona ukituelewa kwa kile tunachokupatia.
kama hukufanikiwa kuona mafundisho yaliyopita usijali bonyeza kwenye maandishi  hapo chini
je unataka kujifunza autocad ingia hapa
jinsi ya kuandaa mazingira ya kuchorea kwenye program ya autocad
Kwa mtu yoyote anaeanza kuchora basi ni lazima ahakikishe toolbar hizi tatu za msingi zipo yaani
1. Draw toolbar – hii hutumika kwa kuchorea maumbo mbali mbali, mistari, nk.
2. Dimension toolbar – hii hutumika kwa kuonesha vipimo mbalimbali mfano kipimo cha mstari, duara, pembe, nk.
3. Modify toolbar – hii hutumika kwa kufanya marekebisho ya mistari au maumbo mbalimbali yaliyochorwa kwa draw toolbar
ili uweze kuelewa vizuri mpendwa msomaji, tumekuwekea link ya video hapo juu ambayo ukibonyeza itakupeleka moja kwa moja sehemu ambapo video ipo.Tumia fursa hii kuielewa vizuri program hii.

Kama unahitaji floor plan

                                                    Kama unahitaji floor plan ya Mchoro huo hapo juu tuwasiliane.

Thursday 10 December 2015

PICHA ZA NYUMBA YA KUISHI



                                                  
PICHA ZA NYUMBA YA KUISHI
Picha hiyo iliyooneshwa hapo juu ni picha ya nyumba ya kuishi (residential house) kama ilivyobuniwa na kutengenezwa na mmoja kati ya wataalamu waliobobea katika fani ya ubunifu (Architecture).
Sifa za nyumba hii
1. ina sebure(sunken lounge) ya kutosha
2. Sehemu ya kulia chakula (dining) yenye mwanga wa kutosha
3. Sehemu ya kupikia (kitchen) ya kisasa
4. Sehemu ya kutunzia vitu (store)
5. Choo na bafu vya pamoja (public)
6. Vyumba viwili(3) vya kulala vya kawaida
7. Chumba kimoja chenye choo na bafu (master bedroom) cha kutosha
8. Eneo la kupaki gari(parking)

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More