Habari za wakati huu mpendwa msomaji !Picha hiyo iliyooneshwa hapo juu ni picha ya nyumba ya kuishi (residential house) kama ilivyobuniwa na kutengenezwa na mmoja kati ya wataalamu waliobobea katika fani ya ubunifu (Architecture).
Sifa za nyumba
hii
1. ina sebure(sunken lounge) ya
kutosha
2. Sehemu ya kulia chakula
(dining) yenye mwanga wa kutosha
3. Sehemu ya kupikia (kitchen)
ya kisasa
4. Sehemu ya kutunzia vitu
(store)
5. Choo na bafu vya pamoja
(public)
6. Vyumba viwili(2) vya kulala
vya kawaida
7. Chumba kimoja chenye choo na
bafu (master bedroom) cha kutosha
0 comments:
Post a Comment